Saturday 4 July 2015

WABUNGE 30 NJE NA KUKOSA VIKAO KWA SIKU TANO


vurugu zaendelea tena siku ya leo July4, 2015 ambapo wabunge 30 wametolewa nje na Spika wa Bunge Anne Makinda baada ya kufanya fujo bungeni na kupewa adhabu ya  kutohudhuria vikao vitano vya bunge.
fujo hizi zilitokana na wabunge hao kukataa tena kupitishwa kwa miswada mitatu kwa mkupuo, yaani mswada wa petrol na gesi2015.
fujo zilitokana na mbunge Ezekiel Wenje kuomba mwongozo na kutaka kujua kwanini mh. silinde hayuko kwenye majina yawatu walioorodheshwa watakosa vikao na pia majibu ya Spika Anne Makinda hayakuwaridhisha wabunge na ndipo aipoona fujo zimezidi akasimama na kutaja list ya wabunge 30 waliofanya fujo bungeni, na kuwa watakosa vikao kwa siku tano.

Haya ni majina ya wabunge 30 watakao kosa vikao 5 kwanzia leo July4, 2015:

Ezekiel Wenje
Mussa Kombo
Masoud Abdallah Salim
Rebecca Ngodo
Sabrina Sungura
Khatib Said Haji
Dr. Anthony Mbassa
Maulidah Anna Valerian Komu
Kulikoyela Kahigi
Cecilia Pareso 
Joyce Mukya
Mariam Msabaha 
Grace Kiwelu
Israel Natse 
 Mustapha Akonaay
Konchesta Rwamlaza
Suleiman Bungura 
Rashid Ali Abdallah 
Ali Hamad
Riziki Juma
Rukia Kassim Ahmed
Azza Hamad
Khatibu Said Haji
Kombo Khamis Kombo
Ali Khamis Seif
Haroub Mohammed Shamisi 
Kuruthum Jumanne
Mchuchuli
Amina Mwidau
Mkiwa Kimwanga
Salum Baruhani 
Marry Stellah Malaki
Rashid Ally Omary
Mwanamrisho Abama
Lucy Owenya.








Kwa story Zaidi kutana name facebook, twitter, na gmail.com na uweze kucomment chochote unachofikiri.

Related Posts

WABUNGE 30 NJE NA KUKOSA VIKAO KWA SIKU TANO
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR