Saturday 4 July 2015

TERMINATOR GENISYS YAUZA MPAKA $10.8 MILL. IJUMAA

Report kutoka Box Office zinasema Muvi mpya ya Terminator Genisys iliyofanywa na actor Maarufu kwa jina la Arnold Schwarzenegger muvi hiyo ikiwa ni mwendelezo wa terminator zilizopita imefanya vizuri  katika soko baada ya kuuza mpaka $10.8 mill. na kufikia kiasi cha $26.5 mill.


Arnold schwarnezegger



Terminator Genisys

Related Posts

TERMINATOR GENISYS YAUZA MPAKA $10.8 MILL. IJUMAA
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR