Sunday 5 July 2015

CHILE YAICHAPA ARGENTINA 4-1 KATIKA COPA AMERCA


Chile ya chukua ubingwa wa copa America kwa mara ya kwanza dhidi ya Argentina kwa kushinda magoli 4-1.

Chile wakinyanyua juu kombe  baada ya ushindi
mchezo huu uliochezwa Santiago chile, Chile na Argentina walicheza dk 90 bila kufungana na hata walipoongezewa 120 bado walitoka bila ya kufungana, nakufikia hadi hatua ya mikwaju(penalt) na ndipo chile akamzidi argentina kwa mikwaju 4-1. na kuibuka mabingwa wa Coa America kwa maka214/2015.
chle baada ya ushindi wa penalti
Argntina waliondoka na nafasi ya pili ya medali wakati Chile wakinyaua kombe lao la Copa Amerca.



                                               Bofya utazama highlights za penalt
                                                  chile vs Argentina penalti




 kwa stori kama na Zaidi ya hizi nilizonazo ungana name facebook, twitter, na gmail.com

















Related Posts

CHILE YAICHAPA ARGENTINA 4-1 KATIKA COPA AMERCA
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR