Sunday 5 July 2015

LUKAS PODOLSKI ASAIN MKATABA NA GALATASARAY

Aliekuwa mshambuliaji wa Arsenal Lukas Podolski amehamia katika klabu ya Galatasaray kwa mkataba wa miaka mitatu kwa ada ya paundi 1.8 mill.
Podolski alihamia klabu ya arsenal mwaka 2012 kwa ada ya paund 11mill. na aliweza kuifungia magoli 32 kati ya michezo 89 na aliiwzesha Ganners kushinda  FA cup mwaka 2013.




Lukas Podolski amehamua kuhamia galatasaray baada ya nafasi kuwa chache Arsenal, kwakuwa kocha Arsenal Wenger aliongeza washambuliaji ama vile Mesut Ozil, Alexis Sanchez na Danny Welbeck. Aikuwa katika klabu ya Inter Millan kwa mkopo na sasa ameshasaini mkataba na galatasaray. Galatasaray ilikuwa na mpango tangu mwanzo wa kumnasa mchezaji huyo tangu akiwa ujerumani lakini haikufanikiwa kwasababu Arsena walikua tayari wamekwisha mnasa mchezaji huyo.

Related Posts

LUKAS PODOLSKI ASAIN MKATABA NA GALATASARAY
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR