Saturday 4 July 2015

RAIS WA MAREKANI BARAK OBAMA KUANDALIWA CHAKULA NA BIBI YAKE PINDI ATAKAPO TEMBELEA NCHINI KENYA



Bibi wa Barack Obama anaejulikana kwa jina la Mama Sarah amejitoa kumpikia mjukuu wake Barak Obama pindi atakapo kuja kutembelea Afrika Mashariki.
 
"kulingana na chakula nitakacho kiandaa kwa ajili ya Barak atakapo kuja kututemmbelea, nitaanda vyakula vya kitamaduni vilivyopo. haijalishi Barak obama ni Rais ama senetor nitakuwa nacho kile nitakacho kwenda kuanda." alisema Mama Sarah
Mama Sarah

Mama Sarah amesema atakwenda kumkaribisha mjukuu wake kwa milo tofauti kama vile samaki, kuku na uji.
hii itakuwa ni Ziara ya nne kufanywa na Barak Obama tangu atangazwe kuwa Rais wa Marekani.


























 

Related Posts

RAIS WA MAREKANI BARAK OBAMA KUANDALIWA CHAKULA NA BIBI YAKE PINDI ATAKAPO TEMBELEA NCHINI KENYA
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR