Saturday 4 July 2015

LILY WYNE ADONDOSHA ALBUM YAKE MPYA YA 'FREE WEEZY ALBUM'



Rapper wa kimarekani Lily wayne ameamua kudondosha album yake mpya ya 'free weezy' (FWA) special  kwa ajili ya mashabiki wake, chini ya Tidal ya Jay Z.
rapa huyo aliamua kuachia album yake mpya baada ya mwezi aipotangaza kwamba atajiunga na kampuni ya Jay Z  kama Tidal. na katika album hiyo mpy ameweza kuwashirikisha wasanii kama vile  Young Jeezy, Wizy Khalifa, kundi la Young Money. Katika Album yake ameachiawimbo moja unajulikana kama 'Glory'.
Lily Wayne alizungumza kwenye mtandao wa  twitter akisema:
#FWA album is my best work yet! I won't let u down as a fan






Ungana name facebook, twitter, and Gmail kwa story zaid ya hizi na comment unavyoweza!!!!!!!!.





                                    

Related Posts

LILY WYNE ADONDOSHA ALBUM YAKE MPYA YA 'FREE WEEZY ALBUM'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR