Saturday, 12 December 2015

Platnumz kutoa subtitle ya Video yake Mpya 'Utanipenda'

Baada ya kudondosha ngoma yake "Utanipenda" Dimond Platnmz akaona haja ya kutupia subtitle ama tafsiri ya nyimbo hiyo kwa kiingereza kwa kuwa muziki wetu umefika mbali kimataifa, akaona kunasababu basi ya kutupia taafsiri kwa ajili ya wenzetu walioko Barani Ulaya na hata Marekani na nchi nyingine zote kwa walewanaopenda kutazama video zake.
Iatzame video hiyo hapa chini ikiwa na tafsiri ya kiingereza.

Related Posts

Platnumz kutoa subtitle ya Video yake Mpya 'Utanipenda'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR