Thursday 9 July 2015

Mbunge wa singada Miohammedi Dwewji kuiaga singida July8, 2015

Mbunge wa Singida na Mfanya biashara maarufu Mohammedi  Dewji leo ameiga singida kwa masikitiko makubwa siku ya jana mjini singida na kikubwa zaidi ni kwamba Dewji aliahirisha kugombea tena ubunge a singida katika uchaguzi mkuu ujao kutokana  na majukumu mengi ya kifamilia na biashara.

Dewji aliyasema hayo katika mkutano mkuu ulifanyika  mjini singida.  katika uongozi wake Dewji aliweza kujenga shule 15 za sekondari na pia alitumia fedha zake binafsi kuchimba visima 45 vya maji safi na salama. aliwashukuru wananchi wa Singida kwa kutoa ushirirano kipindi cha uongozi wake na kuonyesha ukarimu wa hali ya juu na pia aliwataka wakazi wa singida kuendeleza moto uleule wa maendeleo walioanzanao mwaka 2010  kwa miaka mingine ijayo iliwapige hatua.
 
Dewji aliwasili  Mjini Singida July8, 2015 katika mkutano huo alimleta msanii maarufu Dimond Platnumz  na pia katika mkutano huo aliweza kueleza mafanikio yake kipindi chote  cha uongozi.

Related Posts

Mbunge wa singada Miohammedi Dwewji kuiaga singida July8, 2015
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR