Thursday 9 July 2015

Dj Exclusive aendelea kuwika baada ya kufanya Collabo Na Davido katika New Video ya 'Wo Le'

Dj Exclusive ameendelea kufanya vizuri na kuzidi kuwika baada ya kutoa nyimbo yake mpya ya 'Wo Le' ambayo amemshirikisha msanii maarufu Davido.


video hii mpya ambayo kamshirikisha Davido iliandaliwa na Adasa Cookey.




bofya hapo kusiliza new video kutoka kwa Dj Exclusive
                                     New Video: Dj Exclusive ft Davido - 'Wo Le'

Related Posts

Dj Exclusive aendelea kuwika baada ya kufanya Collabo Na Davido katika New Video ya 'Wo Le'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR