Monday 6 July 2015

Mahakama ya kisutu leo imewahukumu Basil Mramba na Daniel Yona kwa kifungo cha miaka mitatu Jela



Mahakama  ya kisutu leo yatoa hukumu kwa mawaziri wawili wa zamani , waziri wa fedha  Basil Mramba na waziri wa nishati  na madini Daniel Yona.
kwa kifungo cha miaka mitatu jela  kwa kukutwa na hatia ya kuisababishia hasara  serikali (hasara ya sh. 11.7 bill.) pamoja na kukutwa na makosa 10 ya  matumizi mabaya ya madaraka.
Basil Mramba kulia.
Licha ya kuhukumiwa miaka 3 jela mawaziri hao wazamani wanapaswa kulipa faini ya sh. 5 mil. Kila mmoja. hukumu imetolewa katika mahakama ya kisutu leo july 6, 2015, japo watalipa faini hiyo  lakini bado watatumikia kifungo cha miaka mitatu jela. 
Pia katika kesi hiyo Grey Mgonja ameachiwa huru baada ya kukutwa hana hatia.

Basil Mramba na Daniel Yona


 Ungana name facebook, twitter, gmail.com kwa stori Zaidi ya hizi ninazo kupatia katika blog hii


 

Related Posts

Mahakama ya kisutu leo imewahukumu Basil Mramba na Daniel Yona kwa kifungo cha miaka mitatu Jela
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR