Sunday 5 July 2015

JE! WAJUA???..

Je Wajua  Lamborgin Aventador ndio Gari iliotumika Kwenye Muvi ya Fast and Furious 8?. 





 Lamborgin Aventador ndio gari ambayo ilitumika katika muvi mpya ya Fast and Furious 8



kwa wale wapenzi wa magari, Avebtador ndio gari iliotumika katika muvi a Fast 8 kwa wale walio tizama muvi hiyo na uhakika mnaweza kuwa na kumbukumbu kidogo.



                                   Aventador: top speed - 350 km/h (217mph)



                                        Acceleration  0-100km ni 2.9 s


                                     aina ya transmission  ni 4WD with hldex Generation


                      Na aina ya engine ni v12, 60degrees MPI na Gearbox 7speed ISR


Related Posts

JE! WAJUA???..
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR