Sunday 5 July 2015

SHIRIKISHO LA NFF NIGERIA LIMEAMUA KUMWONDOA KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA NIGERIA STPHEN..

kikao kilichofanywa na shirikisho la NFF nchini Nigeria  siku ya jumamosi juu ya kocha Stephen Kesh kimeamua kumwondoa kocha huyo katika timu ya taifa ya Nigeria.
taarifa hizi za zimekuja  wiki 2 baada  shrikisho hilo kufanya uchunguzi na kuripoti kwamba kocha huyo alituma maombi ya kwenda kujifunza Ivory cost  licha ya kuwa anamkataba na Nigeria. 
taarifa hizi zilitolewa na wakala  ambae hakumtaja jina  lake, aliwasilisha wadhifa huo kwa timu ya ivory cost  bila ridhaa yake . Stephen Kesh alimekuwa kocha wa timu ya taifa Nigeri kwa vipindi 3 tofauti kwanzia mwaka 2011- 2015. 
kwasasa wadhifa huo umechukuliwa na kocha mwingine Shaibu Amodu.

Related Posts

SHIRIKISHO LA NFF NIGERIA LIMEAMUA KUMWONDOA KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA NIGERIA STPHEN..
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR