Monday, 6 July 2015

Hatimae Bunge lapitisha Miswada mitatu siku ya leo July6,

Kambi pinzani kupinga Rais kusaini  Miswada hiyo mitatu

Katika kikao cha bunge siku hii ya leo july6,  bunge baada ya kukaa kikao limeridhia kupitisha miswada mitatu ya Mafuta na gesi pamoja na ule wa usimamizi wa mapato ya mafuta na gesi. 
Kwa upande wa spika wa bunge Mh.Anne makinda akizungumza mara baada ya zoezi la upitishwaji wa miswada hiyo kukamilika mbali na kuwapongeza wabunge walioshiriki kuipitisha  amesema kwa sasa inasubiri kusainiwa na rais ili iweze kuwa sheria rasmi. pia spika aliendelea kusisitiza nidhamu ndani ya bunge.
 
Kambi pinzani ya pinga Rais kuweka saini juu ya miswada hiyo
Japo kuwa miswada hiyo ilipitishwa lakini kambi pinzani imepinga Rais kutia saini katika Miswada hiyo mitatu ikiendelea kusisitiza ya kwamba miswada hiyo kupitiswa ni kukiuka  kanuni za bunge. Mh. Mbowe kwa niaba ya ukawa leo alzungumza na vyombo vya habari akisema kwambawatawkenda kukutana  na kamati Dar es Salaam kwa ajili ya kikao na pia kwa ajili ya kufanya mkutano wa pamoja kama UKAWA siku ya juma tanowakijadili juu ya mswada wamapato yay mafuta na gesi.






Endelea kuungana name Facebook, twitter na gmail, ilikupata habari kamili na Zaidi ya hizi

Related Posts

Hatimae Bunge lapitisha Miswada mitatu siku ya leo July6,
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR