Monday 6 July 2015

Women World Cup Finals 2015: Marekani ya Twaa Ubigwa wa Kombe la Dunia Mara ya Tatu

Marekani yashinda dhidi ya Japani kwa magoli 5 - 2 katika kombe la Dunia kwa wanawake. Marekani imeongoza kwa kushinda kombe la dunia kwa mara 3 jumapili . 
Marekani waliweza kutupia Magoli 4-o katika nyavu za Japani katika dk 16 za mwanzo. huku Loyd akiifungia timu yake magoli 3. 
 
Carlil Loyd akifurahia ushindi wake wa mabao 3
 
katika fiinali hiyo mchezaji Carlil Loyd aliishindia timu yake magoli matatu na baada ya hapo mchezaji huyo alipewa offer  ya kwenda kutembelea white House na Rais wa Marekani Barak Obama.
na hiki ndicho alicho kizungumza Obama juu ya mchezaji huyo katika mtandao wa twitter:

President Obama
What a win for Team USA! Great game @CarliLloyd! Your country is so proud of all of you. Come visit the White House with the World Cup soon.

Marekani wakiinua kombe lao juu baada ya ushindi








 

Related Posts

Women World Cup Finals 2015: Marekani ya Twaa Ubigwa wa Kombe la Dunia Mara ya Tatu
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR