Tuesday 14 July 2015

Bastian Schweinsteiger na Morgan Schneiderlincha Kusajiliwa Manchester United

Bastian Schweinsteiger na Morgan Schneiderlin 

hatimaya manchester united yakamilisha usajili wa wachezaji wawili Bastian Schweinsteiger amaye anatokea katika timu ya Bayren Munich na Morgan Schneiderlin ambae anatokea Southampton. 

Bastian mwenye umri wa miaka 30 amehamia katika klabu ya Manchester United kwa ada ya paundi paundi 14.4mill. kutoka bayern. wakati Morgan akisajiliwa kwa ada ya paundi 25mill.

 wakiwa wamesha wasili Man U kwa ajili ya mazoezi.

 
     Bastian pamoja na Morgan   
                                 
                           hivi sasa wachezaji hawa wamesha kamilisha usajili wao na kutua rasmi katika klabu ya hio kwa ajili ya mazoezi.

 

Related Posts

Bastian Schweinsteiger na Morgan Schneiderlincha Kusajiliwa Manchester United
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR