Tuesday 14 July 2015

Raheem Sterling awamchezaji wa pili kuuzwa kwa garama katika ligi kuu england.

Raheem Sterling ameondoka livepool hapo jana kwa uhamisho wa paundi 49mill, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 amekwenda katika klabu ya manchester city, na sasa yuko katika hauta ya mwisho ya vipimo kwa ajili ya kukamilisha uhamisho huo.


Hii ni list ya wachezaji waliouzwa kwa gharama Uingereza

£85.3m - Gareth Bale (Tottenham to Real Madrid, 2013)
£49m* - Raheem Sterling (Liverpool to Manchester City, 2015)
£35m - Andy Carroll (Newcastle to Liverpool, 2011)
£30m - Rio Ferdinand (Leeds to Manchester United, 2002)
£27m - Luke Shaw (Southampton to Manchester United, 2015)
£27m - Wayne Rooney (Everton to Manchester United, 2004)
£26m - James Milner (Aston Villa to Manchester City, 2010)


Raheem Sterling

kocha wa livepool Rogers amethibitisha uhamisho huo na kusema kwamba huo ndio uhamishoa wa gharama kwa mchezaji huyo, na alisema pia kuondoka kwa Sterling sio kwa ubaya wala kwa sababu ya tabia zake uwanjani ila ni uhamisho wa wa amani na hakuna ugomvi kati yake na Rogers.

ila wachezaji waliopita wa Liverpool wamemkosoa mchezaji huyo kwa kufanya uhamisho huo baada ya kumwambia Rogers anataka kuondoka unfield.
 mmoja wao akuwa kiongozi wa timu hiyo Steven Gerrard(captain) alikatishwa tamaa na uhamisho huo England.
Raheem anatarajiwa kujiunga na michuano ya mechi za nje kabla ya kuanza kwa mechi za ligu kuu uingereza, ambapo watasafiri kwenda Australia endapo uhamisho huo utakamilika.


ungana nami facebook, twitter, gmail kwa chochote kile

Related Posts

Raheem Sterling awamchezaji wa pili kuuzwa kwa garama katika ligi kuu england.
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR