Thursday 16 July 2015

Shangazi wa chris brown afungiwa kabatini na wezi waliovamia katika nyumba ya Brown

watu watatu waliokuwa wameficha sura zao wamevunja na kuingia katika moja ya nyumba ya chris brown huko los angeles na kumfungia shangazi wa chris brown kabatini kabla ya kuanza kusachi ndani ya nyumba hio.

maafisa walisema kwamba wezi hao walikimbia kusiko julikana na kuchukua kiasi cha hela kisicho julikana pamoja na vitu binafsi vilivyo kuwa ndani ya nyumba.
shangazi wa brown hakuumia mahali popote, ila polisi hawakujua ni kwa muda gani shangazi ake alifungiwa kabatini.
tunajaribu kutafuta kama kuna video yeyote iliyo chukuliwa pindi wanaiba" luteni Kirk Kelley aliwaambia maripota wa los angeles.
wezi wote watatu walikuwa wamebeba silaa na kujifunika nyuso zao wakati wa tukio.

Related Posts

Shangazi wa chris brown afungiwa kabatini na wezi waliovamia katika nyumba ya Brown
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR