Wednesday 8 June 2016

Manchester United Yamsajili Kiungo Mpya..


Klabu Bingwa Uingereza Manchester United imekamilisha usajili wake kwa kumsajili kiungo mpya kutoka Ivory coast Eric Bailly aliekuwa akiichezea klabu ya Villarreal ambapo alikua akicheza kama kiungo mkabaji..

Man United imemsajili kiungo huyo mwenye umri miaka 22 kwa ada ya paundi 30 milioni  kwa mkataba wa miaka minne.
Bailly amesema kuwa ndoto yake imetimia kujiunga na klabu hiyo, na kuseam kuwa alikuwa akitamani kucheza katika klabu kubwa.
Eric  alijiunga na klabu ya Villarreal kwa ada ya paundi 4.4 milioni, huku akicheza mara 40 ligi ya La Liga michezo ya mitano ya kwanza ikiwa ni Espanyola.

Related Posts

Manchester United Yamsajili Kiungo Mpya..
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR