Thursday 9 June 2016

Michael Carrick Aongeza Mkataba Man United...

Michael Carrik amekubali kuongeza mkataba wa mwaka mmoja wa kuendelea kuichezea klabu ya Manchester United.
Kiungo huyo mwenye Miaka 32 anatimiza miaka 10 kuichezea klbu hiyo tangu sajiliwa akitokea Tottenham mwaka 2006.
Kocha Jose Morinho amesema kuwa mchezaji huyo amekuwa na uzoefu wa mda mrefu klabuni hapo  na kusema kuwa uwezo huo unamanufaa kwake.

Related Posts

Michael Carrick Aongeza Mkataba Man United...
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR