Uchaguzi uliofanyika nchini Burundi wiki iliyo pita umeamua tena Pierre Nkurunziza kuendelea kuiongoza Burundi kwa muhula wa tatu kwa kipindi cha miaka mitano. Matokeo yalitangazwa hapo ijumaa na kamati kuu ya uchaguzi ambapo Nkurunziza alishinda kwa 69%
katika ya kura zilizokuwa zikipingwa na wapinzani juu ya kuvunja katiba ya nchi kwa nkurunziza kugombea kwa muhula wa tatu. Nkurunziza alifuatiwa na Agothan Rwassa alieshinda kwa kura 19%.
Baada ya uchaguzi huo kukamilika wanasiasa kutoka upinzani walitoa wito kwa Pierre Nkurunziza afanye mazungumzo na wapinzani ilikuunda serikali ya umoja wa kitaifa wakisema itasaidia katika kuepusha vita nyingine ya wenyewe kwa wenyewe.
Marekani pamoja ya Uingereza weamechukizwa sana na kulaani machafuko yaliyo fanyika burundi kabla ya uchaguzi uliofanyika siku ya Jumanne.
Pierre Nkurunziza Ashinda Urais kwa mara ya Tatu Nchini Burundi.
4/
5
Oleh
kwetutz24