Friday 17 July 2015

MCHEZO WA NBA KUCHEZWA KWA MARA YA KWANZA SOUTH AFRIKA - 'JOHANNESBERG'


Mchezo wa NBA unaochezwa Marekani utakwenda kuchezwa kwa mara ya kwanza south africa mjini Johannesberg - South Afrika.
mchezo huo utaonyeshwa live kupitia ESPN huko marekani 9;00a.m na kupitia super sport Afika 3:00p.m kwa saa za afrika. pia mchezo huo utakwenda kuchezwa August 1, mwaka huu.
NBA(National Basketball Assocation) na NBPA(National Basketball Players Association) vyama hivi vimetangaza mchezo ambo utakwenda kuchezwa mjini Johannesberg katika uwanja wa Ellis Park Arena, mchezo huu utachezwa kwa ajili ya kutoa msaada kwa vyama vifuatavyo;
boys and girls clubs, SOS Children Village Association, na Nelson Mandela Foundation. vyama hivi vitatembelewa mwishoni mwa mwezi July - 31 na wchezaji wa NBA huko South Afrika.


Team World       vs          Team Africa

Mchezo huo utajumuisha timu mbili ambazo ni Team Afrika vs Team World
Team Afrika itajumuisha wachezaji waliozaliwa afrika na kizazi cha pili cha wachezaji wa Afrika wakishurikiana na kapteni pamoja na alieshinda mara 2 katika All Star NBA  Luol Deng.

Luol Deng - Captain
Team Afrika;
Luol Deng - Miami Heats - akitokea South Sudan   captain
Al- Farouq Aminu - Portland - Nigeria
Giannis Antetokounmpo - Milwaukee - Nigeria
Nicolus Batum - Charlotte Hornets - Cameroon
Bismack Biyombo - Toronto Reptors - Congo DRC
Boris Diaw - San Antonio Spurs - Senegal
Gorgul Dieng - Minnesota Timber Wolves - Senegal.










Team Afrika watakua chini ya kocha Gregg Popovich ambae alitwa ubingwa wa nba mara 5, akishirikiana na Mike Budenholzer ambae alitwa ubingwa wa nba 2014/15 kama kocha wa Mwaka pamoja na koch msaidizi Monty William wa Atlanta Hawks na Oklahoma thunder City. 

Gregg Popovich - Coach
Team World itajumuisha wachezaji kutoka pande zilizobaki z dunia(mchanganyiko) wakishirikian na kapteni pamoja na Rais wa NBPA na wachezaji wa NBA;

Chris Paul - Captain
Team World;
Chris Paul Las Angeles Clippers - U.S captain
Bradley Beal - Washington Wizard - U.S
Kenneth Faried - Denver Naggets - U.S
Marc Gasol - Memphis Grizzlies - Spain
Paul Gasol Chicago Bulls - Spain
Jeff Green - Memphis Grizzlies U.S
Marcus Smart - Boston Celtics U.S
Nicola Vucevic - Orlando Magic - Montenegro
Evan Tuner  - Boston Celtics - U.S



Team World itakuwa chini ya kocha Lionell Hollins wa Brooklyn Nets na Brad Steven Kocha msaidizi wa Boston Celtics, Meneja mkuu R.C. Burford na mkufunzi amb ae atawafundisha Keon Weise(Orlando Magic)

Lionell Hollins - Coach



Kwa habari zaidi ya hizi kutana nami facebook, twitter na gmail
na kupata info zaidi tumia link;
http://www.nba.com  kuhisiana na mchezo huu.









Related Posts

MCHEZO WA NBA KUCHEZWA KWA MARA YA KWANZA SOUTH AFRIKA - 'JOHANNESBERG'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR