Friday 17 July 2015

Banza Stone amefariki Dunia leo Mchana July17

Mwanamziki wa wa nyimbo za dansi ramadhan masanja anaejulikana kwa jina la banza stone ambae alishawahi kujiunga na bendi ya twanga pepeta na bendi nyinginezo, amefariki dunia leo mchana.
Banza Stone amefariki katika akiwa nyumbani kwao sinza kijiweni,
ripoti zinasema kwamba alikuwa anafangasi kwenye kichwa na pia kwenye koo  hizi ni taarifa kutoka kwa madaktari  baada ya kupelekwa hospitali ya mwananyamala.
Jabiri Masanja alisibitisha kifo cha kaka yake Banza leo mchana baada ya kuhojiwa na vyombo vya habari.

Banza Stone

Banza stone alishawahi kuzushiwa kuwa kafariki siku za hivi karibuni na nizaidi ya mara moja lakini haikuwa kweli, kwakuwa yeye mwenyewe alizungumza na vyombo vya habari akisema kuwa yeye ni mzima na anaendele vizuri, aliwaahidi mashabiki wake kuwa akipona atarudi kwenye mziki kwa ajili ya mashabiki wake.
Banza Stone anakumbukwa kwa nyimbo alizowahi kufanya kama mtu na pesa zake, na nyimbo niyngine kadhaa, mwanamziki huyu atazikwa siku ya kesho saa 10 mchana.



Related Posts

Banza Stone amefariki Dunia leo Mchana July17
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR