Sunday 28 June 2015

WAANDISHI WA HABARI WAENDA KUWAGA MWILI WA MAREHEMU EDSON KAMUKARA





















Jopo la waandishi wa Habari hapo jana walienda kuuaga mwili wa marehemu Edson Kamukara aliekuwa mwandishi wa Mawio na  Mwanahalisi hapo jana.

Edson Kamukara amefariki akiwa nyumbani kwake Mabibo tarehe 25 June 2015.
mwili wa marehemu utakwenda kuzikwa nyumbani kwao Muleba mkoani Iringa June29, mwezi huu.
katika mazishi hayo waandishi wa habari na wanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo( CHADEMA) kama vile Dr. Slaa na  Mh.Freeman Mbowe piawalikwenda kuuaga mwili wa marehemu.   
pia mwenyekiti wa wamiliki wa vyombo vya habari Tanzania Regnald Mengi nae alikwenda kuuaga mwili wa marehemu na alisikitishwa sana na kifo cha marehemu
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe pamoja na Dr. Slaa katika mazishi ya marehemu.

Mwenyekiti wa IPP.Regnald Mengi akiuwaga mwili wa marehemu.

Related Posts

WAANDISHI WA HABARI WAENDA KUWAGA MWILI WA MAREHEMU EDSON KAMUKARA
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR