Meek Mill ataangusha album yake ya DREAM WORTH THAN MONEY siku ya Jumatatu.kabla ya kutangaza album yake aliachia wimbo wake mpya "All Eyes On You" akimshirikisha Chris Brown na Nick Minaj.
Listen to the new song Meek Mill ft Chris Brown, Nick Minaj
All Eyes on You-Meek Mill ft Chris Brown, Nick Minaj
kutana nami facebook, twitter, na gmail.com burudika kla wakati kupitia blog hii.
NEW VIDEO: Meek Mill, Chris Brown and Nick Minaj
4/
5
Oleh
kwetutz24