Wednesday 11 May 2016

Stephen Curry Apata Tuzo ya MVP kwa Mara ya Pili...

,Mchezaji Maarufu ligi ya NBA, Stephen Curry anaye chezea timu ya Golden State WArriors ameshinda kwa kishindo tuzo ya MVP  kwa mara ya pili katika ligi ya NBA  ya Marekani, Baaada ya kupita kwa kura 131 kati ya kura zote zilizopigwa na kukubaliwa na waamuzi wote kwa pamoja na  kumchagua kuwa MVP kwa mwaka 2015-2016, ushindi unaelelezwa kuwa haujawai kutokea katika historia ya miaka 61.
Kawhi Leonard alifuatia akiwa nafasi ya pili,  LeBron James nafasi ya tatu huku Russell Westbrook akimaliza nafasi ya nne na Kevin Durant ya tano katika orordha.
Na hapa cheen ni video yake mabapo alito hotuba yake fupi baada ya kupata kujinyakulia tuzo hiyo..
j

Related Posts

Stephen Curry Apata Tuzo ya MVP kwa Mara ya Pili...
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR