Sunday 17 January 2016

Sare ya Bila Kufungana Yairudisha Arsenal Kileleni..

Arsenal imetoka sare ya bila kufungana dhidi ya Stocke City na hivyo kuifanya timu hiyo kurudi Kileleni.
Japo Arsenal Wenger alimkosa Ozil katika mchezo huo kutokana na majeraha aliyokueanayo, lakini bado Ramsey aliweza kulinda ukuta wa Arsenal mpaka mwisho wa mchezo.
Japo  kuwa Stoke ilifanya mashambulizi ya nguvu mwishoni mwa mchezo ambapo Jon Walter(Stocke) alipiga mpira wa kichwa kuelekea lango la Arsenal japo mpira huo ulizuiliwa na Aron Ramsey(Arseanl) na hivyo kupelekea sare ya bila kufungana mpaka mwisho wa mchezo.
Sare hii inawafanya Arsenal kurudi kileleni katika msimamo wa ligi kuu ya Uingereza, Premier League

Related Posts

Sare ya Bila Kufungana Yairudisha Arsenal Kileleni..
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR