Monday 12 October 2015

Novak Djokovic amshinda Rafael Nadali Katika Michuano ya Wazi China

Namba moja kwa ubora duniani kwa mchezo wa tennis Novak Djokovic amemshinda mpinzani wake Rafael Nadal katika michuano ya wazi China (China Open Final) kwa kumfunga set 6-2 6-2.

Djokovic ambae ametwa taji lake la nane sasa amesema kuwa mashindano yanayofanyika Beijing yamemletea mafanikio zaidi hadi sasa katika kazi yake na mashabiki wake ndio wanamfanya awezekurudi katika mashindano hayo kila mwaka.

kwa habari nyingine zaidi ya hizi kutana na twitter, facebook, gmail pia unaweza subscribe kupta habari zetu.

Related Posts

Novak Djokovic amshinda Rafael Nadali Katika Michuano ya Wazi China
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR