Monday 12 October 2015

Waziri Abdallah Kigoda Amefariki Dunia Akiwa Nchini India.. R.I.P

Aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara hapa nchini Dk. Abdallah Kigoda amefariki dunia akiwa India kwenye matibabu
Hapo mwanzo taarifa juu ya  hali ya kiafya ya waziri Abdallah Kigoda zilisambaa mtiandaoni lakini zilikanushwa na serikali na kusema kuwa waziri huyo alikuwa mzima  na anatibiwa India na hajafariki.
lakini taarifazilizotufikia na zilizothibitishwa na serikali  ni kwamba Waziri Dr. Abdallah Kigoda amefariki akiwa India.
Kigoda alikuwa waziri wa viwanda na Biashara na pia aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Handeni Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM.

Related Posts

Waziri Abdallah Kigoda Amefariki Dunia Akiwa Nchini India.. R.I.P
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR