Monday 12 October 2015

New Music: DJ Khaled feat. Trey Songz, Future, & Jeremih – ‘You Mine’

Baada ya kudondosha "Gold Slugs" ambayo amewashirikisha Chris, Fetty Wap na August Alsina sasa amedodnosha hii nyingine ya "You Mine" aliyowashirikisha Future, Trey Songs pamoja na Jeremih.
Dj Khaled amedodndosha ngoma zote mbili kwa mpigo na kwa wakati mmoja.
Alipohojiwa alisema kuwa Hato acha kufanya hivyo kwa mashabiki wake na amefanya hivyo kwa ajili ya mashabiki wake. nukuu;
“I will never stop !!!!! Im changing the game time get the fans more excitement!! 2 singles at the same dam time 2 #1s at the same dam time 2 anthems at the same dam time,"
pia msanii huyu anatarajiwa kuachia Album yake mpya ya I Changed a Lot hapo Nov.23

Sikiliza ngoma hiyo hapa chini 

Related Posts

New Music: DJ Khaled feat. Trey Songz, Future, & Jeremih – ‘You Mine’
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR