Friday 3 July 2015

MSANII WA HIP HOP EMINEM AMERUDI TENA KATIKA MZIKI AKIWA AMEFANYA COLLARBO NA GWEN STEFANI KATIKA WIMBO WA KINGS NEVER DIE

NEW MUSIC: EMINEM FT GWEN STEFANI - 'KINGS NEVER DIE' (AUDIO)



kutoka Rap God sasa Eminem amekuja na Kings Never Die akiwa amemshirikisha msanii wa kike Gwen Stefanisoundtrack hii imetengenezwa kwa ajili ya muvi ambayo inatarajiwa kuonekana hivi karibuni ya "southpaw".




nyimbo hii inapatikana katika link hiyo apo chini bofya kupata track hiyo.

http://www.360musicng.com/download-mp3-eminem-kings-never-die-ft-gwen-stefani/




kwa story Zaidi ya hizi zilizopo kutana name facebook, twitter, na gmail



Related Posts

MSANII WA HIP HOP EMINEM AMERUDI TENA KATIKA MZIKI AKIWA AMEFANYA COLLARBO NA GWEN STEFANI KATIKA WIMBO WA KINGS NEVER DIE
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR