Mwanamziki wa R&B nchin Marekani Chris Brown amezuiliwa na serikali ya Austarlia kutofanya tour yake nchini humo mwezi December kutokana na tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya star Rihanna, kosa alilofanya kipindi kilicho pita mwaka 2009.
Chris amepewa siku 28 na serikali hiyo kujibu tuhuma hizo zilizowekwa dhidi yake.
Alie kuwa waziri msaidizi wa nchi hiyo Michaelia Cash ambae hivi sasa ni Waziri wa Wanawake nchini humo alisema
"People need to understand if you are going to commit domestic violence and then you want to travel around the world, there are going to be countries that say to you: 'You cannot come in because you are not of the character we expect in Australia"
Australia si nchi pekee iliyomzua msanii huyo kafanya tour nchini humo bali hata Britain, Canada na New Zealand pia walimzuia mwanamziki huyo.
Brown alikuwa anatarajiwa kufanya tour zake nchini Australia mwezi December katika mji wa Sydney, Melbourne, Brisbane na Perth. Lakini wanaharakati nchini humo wamekuwa wakipiga vita kumzuia mwanamziki huyo kuingia nchini humo kutokana na tuhuma hizo.

Chris Brown azuiliwa kufanya Tour yake Nchini Australia
4/
5
Oleh
kwetutz24