Monday 27 July 2015

Sergio Romero kutoka Argentina: kusain mkataba na Manchester United

Manchester United siku ya jumapili imefanikiwa kuinasa saini ya goli kipa kutoka Argentina Sergio Romero. Goli kipa huyo ataichezea United kwa mkataba wa Miaka 3.


Romero alikuwa goli kipa wa Sampdoria ya huko Argentina ambae atakwenda kucheza nafasi ya Victor Valdes, ambae ameambiwa na kocha wa United Louis Van Gaal kuwa anaweza kuondoka kwenye timu hiyo.


Van Gaal alimesema kwamba De Gea sasa yuko kwenye mkataba wake wa mwisho mwaka huu na Real Madrid inamataka mchezaji huyo kwa inabidi tujiandae wakati wowowte.
Romero atakuwa ni mchezaji wa Tano sasa kusajiliwa na timu hiyo. 

Related Posts

Sergio Romero kutoka Argentina: kusain mkataba na Manchester United
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR