Monday 27 July 2015

Snoop Dogg akamatwa nchini Sweden

Rapper wa Marekani Snoop Dogg amekamatwa nchini Sweden kwa tuhuma za kutumia dawa za kulevya, jambo ambalo halikuwa kweli, alipelekwa kwenye kituo cha polisi nchini humo na kufanyiwa uchunguzi, baada ya hapo ikagundulika kuwa hakuwa na kosa lolote, kosa hilo lilionekana kama ubaguzi kwa Snoop,

Snoop alikamatwa na kutolewa nje ya gari baada ya kutoka kwenye tamasha siku ya jumamosi, na polisi. Polisi walipohojiwa walisema kuwa walimkamata rapa huyo wakidhani alikuwa akiendesha gari akiwa ametumia dawa za kulevya.
Baada ya hapo Snoop alikataa kuja tena nchini humo, na kuwaambia mashabiki wake wa nchi hiyo wawalaumu mapolisi wao kwa kumkata na kumfanyia kitendo cha kibaguzi.
alipost kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram akisema:
A video posted by snoopdogg (@snoopdogg) on


A video posted by snoopdogg (@snoopdogg) on
 

Related Posts

Snoop Dogg akamatwa nchini Sweden
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR