Friday, 12 June 2015

PROF IBRAHIM LIPUMBA ATANGAZA KUCHUKUA FOMU YA URAIS CUF HAPO JUMAPILI

PROFESA LIPUMBA AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI
 Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba atangaza kuchukua  fomu ya Urais hapo jumapili kama mgombea wa CUF.  Mkurugenzi wa chama hicho Shaweji Mketo alisema Lipumba ndie mgombea pekee alie chukua fomu hiyo ya kuwania Urais kupitia CUF.
Lipumba akihojiwa na vyombo vya habari alisema atakwenda kuwaambiaq wananchi wake ni kwanini anakwenda kuwania nafasi hiyo .


Mkurugenzi wa mpango na uchaguzi Shaweji Mketo wa chama cha CUF alisema, katika chama chake watakua na vikao vya baraza kuu la chama julai 11-13 na itakaua ndio mara ya tano kufanya vikao hivyo. mkutano huo utakwenda kuoinyeshwa kupitia runinga. Pia aliwaomba wananchi na wanachama waende kumsikiliza nikwanini ameamua kuwania nafasi hiyo ya Urais.

Related Posts

PROF IBRAHIM LIPUMBA ATANGAZA KUCHUKUA FOMU YA URAIS CUF HAPO JUMAPILI
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR