Friday 23 October 2015

New Music; Justine Bieber - 'Sorry'

Nyimbo yake ya wat do you Mean ikiwa inashikilia nambari 1 katika Chat, Bieber ameamua kuendeleza chat yake akiachia single yake nyingine ya "Sorry" ikiwa ni nyimbo yake ya pili katika albuma yake ijayo ya Purpose.   
pamoja na kuachia nyimbo hiyo msanii huyu ameamua kudondosha video aliyowashirikisha wakina dada wakicheza katika wimbo huo wa "Sorry"(dance video)
Icheki video hiyo hapa chini.

Related Posts

New Music; Justine Bieber - 'Sorry'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR