Friday, 12 June 2015

GOLDEN STATE WARRIORS KUMFUNGA CLEVELAND CERVERLIERS VIKAPU 103-72

Stephen Curry akifunga kikapu dhidi ya ya wachezaji wa Cleveland.
Finali za NBA zaendelea huko Marekani hapo jana ambapo Golden State Warriors aliweza kumfunga Cleveland Ceverliers ambaye alikua nyumbani kwa vikapu 103-82. katika mechi hiyo Stephen Curry aliongoza kwa vikapu 22, rebound 6 na pasi za mwisho(assist 2) na ndie aliekua mchezaji bora kwakua aliongoza na vikapu vingi(MVP), na hivyo basi kuwezesha kuinua timu yake kupata ushindi dhidi ya Caverliers. Hii ni finali ya nne sasa kufanyika kati ya saba na mpaka sasa wote wamelingana michezo 2-2. ikiwa zimebaki finali tatu.

kwa timu ya Cleveland, Lebron James alishinda vikapu 20, rebound 12, na pasi za mwisho(assist)8,
japo hakuiwezesha timu yake kupata ushindi wakiwa nyumbani.
kyrie irving na kellvin love hawakuweza kushiriki katika finali hiyo kutona na kuwa majeruhi. mchezo 5 utakua hapo Jumapili. Oakland arena.
Stephen Curry akijaribu kumzuia mpinzani wake Lebron James asifunge kikapu.





Related Posts

GOLDEN STATE WARRIORS KUMFUNGA CLEVELAND CERVERLIERS VIKAPU 103-72
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR