Saturday 30 January 2016

New Video: Navy Kenzo - 'Kamatia'


Navy Kenzo wameachia video yao mpya "Natamani" iliyo andaliwa na Director Justine Cumpos wa South Africa. hii ni mara ya pili kwa director huyo kuwaandalia video baada ya ile ya Game. 
Nyimbo hiyo tayari imekwisha tambulishwa usiku wa kuamkia 30 Jan 2015 katika party ya No Tie After Five.
Itazame video hiyo hapa chini.

Related Posts

New Video: Navy Kenzo - 'Kamatia'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR