Thursday 22 October 2015

Wale adondosha Nyimbo Zake Nne

Mwanamziki Wale adondosha nyimbo zake Nne. Wale alidondisha nyimbo hizo baada ya kipindi cha breakfast club.
Nyimbo yake ya kwanza ni "New Phone", ikifuatiwa na "Illuminate" akiwa amemshirikisha Phil Ade, "Know Me" akiwa amemshirikisha Skeme na "Not On Drugs" ambayo amemshirikisha Tove Lo.
Sikiliza Noma Hizo hapa chini.

Related Posts

Wale adondosha Nyimbo Zake Nne
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR