Thursday 22 October 2015

Video; Wale feat. Skeme - 'Know Me'

Wale ameachia Video ya ngoma yake ya "Know Me" ambao amemshirikisha Skeme. Katika kpindi cha Breakfast Club Msanii huyu alitoa mawazo yake juu ya Ugomvi mkubwa ulioko kati ya Drake na Mick Mill.
Tazama video hiyo hapa chini.

Na kama ulimiss kipindi cha  kipindi cha Breakfats Club ambapo Wale alihojiwa juu ya ngoma zake nne na kuongelea juu ya ugomvi ulioko baina ya Mick Mill na Drake Video yake iko hapa.


Related Posts

Video; Wale feat. Skeme - 'Know Me'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR