Thursday 22 October 2015

Collabo Mpya ya Barnaba na Chamelione kutoka Oct.30 - Picha

Collabo mpya iliyofanywa na Barnaba pamoja na Jose Chamelione inatarajiwa kudondoka hapo Oct.30. Collabo hio ya wimbo wa Nikutunze ilifanyika katika Studio za High Table Sound zinazomilikiwa na Barnaba. Barnaba Mwenyewe Aliweza kushare maneno haya juu ya collabo yake katika account yake ya Instagram.

Coming soon @BarnabaClassic ft @jchameleone From #Ug song 👉🏾 🎼Nakutunza. Official release On 30-/October Time 12:00AM @HighTablesound and @epicrecords THT Show some love #repost Asante san @albertmanifester kwa Cover Kali sana San 🙏🏽👌🏿👌 bila kusahau baba Angu @jm_international_collection kwa kutupendezesha Hizi ni baadhi ya picha akionekana kaika studio za High Tablesound
Na Hizi ni picha akionekana katika Studio akiwa na Chamelione.

Related Posts

Collabo Mpya ya Barnaba na Chamelione kutoka Oct.30 - Picha
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR