Monday 5 October 2015

Vanessa Mdee Atangaza ujio wa video yake mpya ya 'Never Ever'

Msanii wa bongo Flava Vanessa Mdee anaejulikana kama Vee Money ambae mara ya mwisho alidondosha nyimbo yake ya 'No Body But Me' ametangaza ujio wake wa video yake mpya ya Never Ever kupitia akaunti yake ya  Instagram, na producer wa Video hiyo akiwa Nahreel,

 
Vanessa hakusema ni siku gani haswa atakwenda kuiachia ngoma hiyo ila amesema kwamba mwanzoni mwa wiki ijayo (Jumatatu) atakwenda kuiacha kwakuwa bado video hiyo iko kwenye maandalizi.

Related Posts

Vanessa Mdee Atangaza ujio wa video yake mpya ya 'Never Ever'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR