katika Primier League ya Uingereza leo 03 Oct. Chelsea imepoteza tena mchezo wao dhidi ya Southampton kwa kufungwa magoli matatu kwa moja na Southampton, ambapo Chelsea walikuwa wenyeji wa mchezo huo.
katika mchezo huo Chelsea ilitangulia mbele kwa kufunga goli la kwanza lillilofngwa kupitia mchezaji wao Willian katika dakika ya 10 ya kipindi cha kwanza, Lakini goli hilo lilisawazishwa na Southampton katika dakika ya 42 ya kipindi cha pili na Steven Davis,
huku magoli mawili yakifungwa na wachezaji kama Sadio Mane na Graziano Pelle katika dakika ya 60 na 72.
katika mchezo huo mchezaji bora alikua Sadio Mane wa Southampton...

Full Time; Chelsea yapotea mchezo kwa mara nyingine tena.
4/
5
Oleh
kwetutz24