Saturday 10 October 2015

MJUE MSHINDI WA BONGO STAR SEARCH 2015

Katika final ya bongo star search 2015 season 8 iliofanyika hapo jana Oct. 9 katika ukumbi wa King Solomoni Hall, ilikua ni kazi kubwa kwa mashabiki kuchagua ni nani atakua mshindi na mwimbaji bora wa BSS 2015kwa kumpigia kura kupitia simu ya mkononi. 

Na katika finali hiyo Kayumba Juma aliibika mshindi wa mashindano hayo.

 Tano bora ya BSS2015..
1.Kayumba Juma -
2.Angel Marry Kato
3.Nasib Fenabo
4.Frida Amani
5.Kevin Gerson

Tatu bora
1. Nasib Fenabo
2. Frida Amani
3. Kayumba Juma


Hawa ndio walikua mbili bora waliobaki ambapo Kayumba Juma aliibuka mshindi.
 1. Kayumba Juma - MSHINDI BSS2015
2. Nasib Fenabo..
 

 
Kayumba Juma baada ya kutangazwa mshindi wa BSS2015
Na Kayumba Juma alipokea kitita cha Sh.60 Mill. 
Kayumba Juma akikabidhiwa zawadi kama mshindi wa BSS2015

Related Posts

MJUE MSHINDI WA BONGO STAR SEARCH 2015
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR