Saturday 10 October 2015

Justine Bieber adhihirisha mwonekano Mpya wa Album ya 'Purpose'

Justine bieber adhihirisha rasmi cover ya album yake ya 'Purpose'. Msanii huyo aliungana artist RETNA maarufu katika uchoraji wa graffiti.
pia alidhihirisha kupitia account ya twitter.
 
Album ya Purpose inatarajiwa kudondoshwa hapo Nov13. ikiwa pamoja na single yake mpya  ya What do you Mean ambayo imeshika No.1 chart katika Billboard hot 100.

Related Posts

Justine Bieber adhihirisha mwonekano Mpya wa Album ya 'Purpose'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR