Sunday 25 October 2015

Full Time Match; Manchester United vs Manchester City, Matokeo yako hapa.

Huu ni Mchezo uliokuwa uisubiriwa kwa hamu saana na mashabiki wa timu hizi mbili. katika mchezo huo Manchester United Ilikuwa nyumbani  ikimkaribisha Manchester City, amabapo katika mechi hii timu hizi zote mbili zilitoka Sare ya bila kufungana mapaka mwisho wa mchezo.


katika mchezo huo mchezaji wa Manchester United Wayne Rooney hakuweza kucheza vizuri katika kile kiwango kizuri kutokana na jeraha alilopata kichwani kwake, ikiwa ni pamoja na kupoteza pasi pamoja na wachezaji wengine kama Joan Mata.

Matokeo haya ya bila kufungana yameirudisha tena Manchester City Kileleni wakiwa na point sawa na Arsenal wakiwa na tofauti ya magoli tu, ambapo Machester United wakiwa na magoli 16 huku Arsenal wakiwa na 10.

Related Posts

Full Time Match; Manchester United vs Manchester City, Matokeo yako hapa.
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR