Thursday 15 October 2015

Dimond Platnamz apongezwa na MTVBASE

Dimond Platnumz kupitia mtandao wa twitter amepongezwa kama mshindi wa kipengele cha Best African Act akiwashinda wapinzani wake  AKA, Yemi Alade, Davido, na DJ Arafat na sasa ataingia kwenye kipengele cha Best Worldwide Act; afica/India ambapo ameshindanishwa na Prianka Chopra.

Dimond atakua mmoja wa wasanii wa afrika waliowahi kushinda kipengelecha Best African Act, kama vile, Sauti Sol(2014), LCNVL (2013), D’Banj (2012 & 2007), Freshlyground (2006) na 2Face (2005).
Kundi la sauti Sol la nchini Kenya lilitumia nafasi hiyo hiyo kumpongeza Dimond kwa kuchaguliwa kwenye kipengele hichokupitia akaunti ya twitter.


Unaweza kumpigia kura Dimond Platnumz katika tuzo za MTVEMA2015 zitakazo fanyika Oct.25
bofya hapa kumpigia kura..>>http://base.mtvema.com/vote#cat=worldwide-act-africa-india


Related Posts

Dimond Platnamz apongezwa na MTVBASE
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR