Wednesday 2 September 2015

Manchester United yakamilisha Usajili wa Anthony Martial kutoka Monaco

Manchester United wametangaza rasmi kukamika kwa usajili wa mchezaji Anthony Marial kutoka AS Monaco. Anthony atajiunga na Man U. kwa maktaba wa miaka 4 na akiwa na fursa ya kuongeza makataba endapo ataka kuendelea kukaa katika klabu hiyo.

Anthony amesema kuwa anafuraha ya kujiunga na timu hiyo. na akisema kuwa alifurahia muda wote alikuwa katika timu ya AS Monaco na anawashukuru wote pamoja na mashabiki wake.
amesema; Anthony Martial:
 "I am so excited to be joining Manchester United. I have enjoyed my time at AS Monaco and I would like to thank them and the fans for everything they have done for me.
Pia kwa upande wa kocha Louis Van Gaal amesema kuwa Antony amejaliwa kuwa na kipaji na mwenye manufaa kwa timu, pia amekuwa akimchunguza tangu akiwa katika klabu yake ya Monaco na alikuwa na maendeleo makubwa klabuni hapo.

Related Posts

Manchester United yakamilisha Usajili wa Anthony Martial kutoka Monaco
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR