Saturday 18 July 2015

VIDEO; T- PAIN - 'CLASSIC MAN' (REMIX)

T-Pain afanya remix ya wimbo wa Jidenna 'Classic Man' ulifanyiwa remix na Kendrick Lamar.

wimbo wa "Classic Man" umefanyima remx kwa mara ya pili na T-Pain akiwa amewashirikisha Vantreas pamoja na Young Cash. nyimbo hii kwa mara ya kwanza Jidenna alifanya reimix na Kendrick Lamar, pamoja na msanii mwingina kama Roman GianArthur. sasa T-Pain kaamua kuifanyia nyimbo hio remix akiwa shirikisha wenzake kama nilivyo wataja hapo mwanzo.

                            bofya hapo chini kuupata remix ya wimbo huu wa classic man remix

                                                T-Pain- 'Classic Man (Remix)'
.                                      


kwa habari na stori kama hizi ungana name facebook, twitter, gmail

Related Posts

VIDEO; T- PAIN - 'CLASSIC MAN' (REMIX)
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR