Saturday 18 July 2015

ENDELEA KUFUATILIA TUZO ZA MTV#MAMA2015 ZINAZOFANYIKA HUKO SOUTH AFRIKA JULY18,2015

Siku ya leo July18, ni siku ambayo tuzo za MTV#MAMA zitakwenda kutolewa kwa wasanii wa Afrika, tuzo hizi zinakwendakufanyika huko Johannesberg  South Afrika, na kikubwa Zaidi Tanzania tume bahatika kupata wawakilishi wawili katika tuzo hizo , ambao ni Dimond Platnumz na Vanessa Madee(Veemoney).
Perfomers
Katika tuzo hizi Dimond amechaguliwa kuwa moja ya perfomers wa MTV#MAMA2015 siku ya lleo pamoja na wanamziki wengine kama Davido, Cassper Nyovest, Yemi na Bucle.
Na pia msanii kutoka Marekani Neyo nae atakwenda kuperform katika tuzo hizo.
Na pia HOST wa Tuzo hiizi akiwa Antony Anderson.
basi endelea kuuatilia MTV#MAMA Awards2015 pamoja na kutazama enterview mali mbali za wasanii ambao waingia kwenye kinyang'anyiro cha tuzo hizo.














ENDELEA KUFUATILIA TUZO za MTV#MAMA2015 IKIWA NI PAMOJA NA ENTERVIEW ZA WASANINI JINSI ZILIVYOFANYIKA.link iko hapo chini bofya na kuweza kufuatilia Zaidi.
                            http://mama.mtv.com 

 

Related Posts

ENDELEA KUFUATILIA TUZO ZA MTV#MAMA2015 ZINAZOFANYIKA HUKO SOUTH AFRIKA JULY18,2015
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR