Sunday 19 July 2015

List ta Washindi wa Tuzo za MTV MAMA AWARDS2015 Iko Hapa!!!!!

Katika tuzo za MTV MAMA 2015 wa Tanzania pekee, Dimond Platnumz na Vanessa Mdee ndio walio tuwakilisha katika tuzo hizo usiku wa jana, na Dimond Platnumz alifanikiwa kushinda Tuzo ya Best Live Act yaani Mtumbuizaji bora wa mwaka. wakati tuzo ya Best Male ikichukuliwa na Davido.
Lakin Vanessa Mdee Hakuweza kushinda Tuzo ya Best Female award, na tuzo hiyo kuchukuliwa na Yemi Alade kutoka Nigeria. na hatimaye Dimond kufanikisha kuleta tuzo nyumbani(TZ)




Na haya ndio maneo aliyosema Dimond akiwashukuru mashabiki wake baada ya kupata tuzo.....

Shukran Kubwa sana Zimfikie Mwenyez Mungu kwa Tuzo hii, na pia Shukran za Dhati Ziwafikie Wadau, Media, Wasanii na Mashabiki zangu wote kwa kunipigia kura na Kuhamasisha kwa Nguvu...Niushkuru sana Uongozi wangu, Familia pamoja na Team nzima ya @wcb_wasafi hususan Madancers wangu kwani Naamini wao ndio wamenipika nikapikika hadi leo hii kuweza kuletaTunzo hii Nzito ya Mtumbwizaji Bora Africa, Nyumbani...lakini pia Shukrani za kipekee zimfikie Mama yangu kipenzi Sandra kwa Mafunzo na Malezi anayonipa kila siku juu ya Dunia....na Shukran tena za kipekee na aina yake zimfikie Roho yangu, Kipenzi Changu @zarithebosslady Kwa raha na Usingizi mwanana anipatiao na kunifanya nizidi kutunga na kuwa M'bunifu kwenye kazi.. ‪#‎BestLiveAct‬ ‪#‎Mtvmama2015‬ Asanteni sana
 

pia katika tuzo hizo D'Banji alifnikiwa kushinda tuzo ya #MAMA EVALUATION ambapo alimshukuru Don Jazzy kwa kumpa ushirkiano katika muziki wake na kufanikisha tuzo hiyo ambapo aliwashinda wasanii wengine kama P Square, Fally Ipupa, Asa,

D'BANJI

pia kundi la Sauti Solo kutoka Kenya nao walishindwa kuiwakilisha vema kundi lao baada ya kukosa tena tuzo ya Best group, na Tuzo hiyo kuchukuliwa na P Square.kundi hili pia lilikosa tuzo mara ya kwanza katika tuzo za BET AWARDS2015 mwezi uliopita.
SAUTI SOLO

Hapo chini ni list ya washindi wote wa tuzo za MTV #MAMA2015.

2015 MTV AFRICA MUSIC AWARD WINNERS:
Best Female: Yemi Alade (Nigeria)
Best Male: Davido (Nigeria)
Best Group: P-Square (Nigeria)
Best New Act Transformed by Absolut: Patoranking (Nigeria)
Best Hip Hop:  Cassper Nyovest (South Africa)
Best Collaboration: AKA, Burna Boy, Da LES & JR: “All Eyes On Me” (SA/Nigeria)
Song of the Year: Mavins: “Dorobucci” (Nigeria)
Best Live: Diamond Platnumz (Tanzania)
Video of the Year:  “Nafukwa” – Riky Rick; Director: Adriaan Louw
Best Pop & Alternative: Jeremy Loops (South Africa)
Best Francophone: DJ Arafat (Ivory Coast)
Best Lusophone: Ary (Angola)
Personality of the Year:  Trevor Noah (South Africa)
MAMA Evolution: D’Banj (Nigeria)
Best International: Nicki Minaj
Artist of the Decade: P-Square
MTV Base Leadership Award: Saran Kaba Jones & S’Bu Mavundla

Related Posts

List ta Washindi wa Tuzo za MTV MAMA AWARDS2015 Iko Hapa!!!!!
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR